sw_tn/deu/28/20.md

423 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja

laana, machafuko, kukemea

"maafa, hofu, na kukatisha tamaa"

kwa yote unayoweka mkono wako

Hii ni nahau. "kila kitu unachofanya"

mpaka uharibiwe

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "mpaka maadui zako wakuharibu wewe"

kuniacha mimi

Hapa "mimi" urejea kwa Yahwe

kushikamana

kubaki kwako"