# Habari ya jumla Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja # laana, machafuko, kukemea "maafa, hofu, na kukatisha tamaa" # kwa yote unayoweka mkono wako Hii ni nahau. "kila kitu unachofanya" # mpaka uharibiwe Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "mpaka maadui zako wakuharibu wewe" # kuniacha mimi Hapa "mimi" urejea kwa Yahwe # kushikamana kubaki kwako"