sw_tn/deu/28/11.md

501 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.

matunda ya mwili wako, katika matunda ya ng'ombe zako, katika matunda ya ardhi yako

Hii ni nahau. "pmaoja na watoto, wanyama, na mazao"

ghala lake la mbinguni

Musa anazungumza juu ya mawingu ambayo mvua huanguka kama walikuwa ni jengo ambao anatunzia mvua.

kwa mkono wa kulia

"wakati mazao uhitaji"

kazi zote za mikono yako

Neno "mkono" ni neno badala la mtu mzima.