# Habari ya jumla Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja. # matunda ya mwili wako, katika matunda ya ng'ombe zako, katika matunda ya ardhi yako Hii ni nahau. "pmaoja na watoto, wanyama, na mazao" # ghala lake la mbinguni Musa anazungumza juu ya mawingu ambayo mvua huanguka kama walikuwa ni jengo ambao anatunzia mvua. # kwa mkono wa kulia "wakati mazao uhitaji" # kazi zote za mikono yako Neno "mkono" ni neno badala la mtu mzima.