sw_tn/deu/28/11.md

20 lines
501 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.
# matunda ya mwili wako, katika matunda ya ng'ombe zako, katika matunda ya ardhi yako
Hii ni nahau. "pmaoja na watoto, wanyama, na mazao"
# ghala lake la mbinguni
Musa anazungumza juu ya mawingu ambayo mvua huanguka kama walikuwa ni jengo ambao anatunzia mvua.
# kwa mkono wa kulia
"wakati mazao uhitaji"
# kazi zote za mikono yako
Neno "mkono" ni neno badala la mtu mzima.