sw_tn/deu/27/22.md

313 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuwaambia Walawi na watu kile wanachotakiwa kusema.

Alaaniwe mwanamume

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na Yahwe amlaani mtu"

binti wa baba yake, au binti wa mama yake

Hii ina maana mwanamume hatakiwi kulala na dada yake, hata kama ana mama au baba tofauti.