# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuwaambia Walawi na watu kile wanachotakiwa kusema. # Alaaniwe mwanamume Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na Yahwe amlaani mtu" # binti wa baba yake, au binti wa mama yake Hii ina maana mwanamume hatakiwi kulala na dada yake, hata kama ana mama au baba tofauti.