sw_tn/deu/27/22.md

12 lines
313 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuwaambia Walawi na watu kile wanachotakiwa kusema.
# Alaaniwe mwanamume
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na Yahwe amlaani mtu"
# binti wa baba yake, au binti wa mama yake
Hii ina maana mwanamume hatakiwi kulala na dada yake, hata kama ana mama au baba tofauti.