sw_tn/deu/27/16.md

365 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuwaambia Walawi na watu kile wanachopaswa kusema.

Alaaniwe mwanamume

Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Na Yahwe na alaani mwanamume"

anayetoa alama ya ardhi ya jirani yake

Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "ambaye anachukua ardhi kutoka kwa jirani yake kwa kutoa alama za mipaka ya ardhi yake"