sw_tn/deu/27/16.md

12 lines
365 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuwaambia Walawi na watu kile wanachopaswa kusema.
# Alaaniwe mwanamume
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Na Yahwe na alaani mwanamume"
# anayetoa alama ya ardhi ya jirani yake
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "ambaye anachukua ardhi kutoka kwa jirani yake kwa kutoa alama za mipaka ya ardhi yake"