# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuwaambia Walawi na watu kile wanachopaswa kusema. # Alaaniwe mwanamume Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Na Yahwe na alaani mwanamume" # anayetoa alama ya ardhi ya jirani yake Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "ambaye anachukua ardhi kutoka kwa jirani yake kwa kutoa alama za mipaka ya ardhi yake"