sw_tn/deu/27/15.md

12 lines
335 B
Markdown

# Alaaniwe mwanamume ... ataifanya sirini
Hii ni kauli ambayo Walawi wanapaswa kupaza sauti kwa watu wote wa Israeli. Inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Yahwe na alaani mtu ... kuwekwa kando sirini"
# kazi ya mikono ya fundi
Hii ni lahaja. "jambo ambalo mtu amefanya"
# fundi
mwanamume ambaye anajua kufanya mambo yawe bora