# Alaaniwe mwanamume ... ataifanya sirini Hii ni kauli ambayo Walawi wanapaswa kupaza sauti kwa watu wote wa Israeli. Inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Yahwe na alaani mtu ... kuwekwa kando sirini" # kazi ya mikono ya fundi Hii ni lahaja. "jambo ambalo mtu amefanya" # fundi mwanamume ambaye anajua kufanya mambo yawe bora