sw_tn/deu/27/15.md

335 B

Alaaniwe mwanamume ... ataifanya sirini

Hii ni kauli ambayo Walawi wanapaswa kupaza sauti kwa watu wote wa Israeli. Inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Yahwe na alaani mtu ... kuwekwa kando sirini"

kazi ya mikono ya fundi

Hii ni lahaja. "jambo ambalo mtu amefanya"

fundi

mwanamume ambaye anajua kufanya mambo yawe bora