sw_tn/deu/26/08.md

715 B

Taarifa ya Jumla:

Hii inaendeleza kile ambacho Muisraeli anatakiwa kusema pale anapoleta mazao yake ya kwanza kwa Yahwe.

Yahwe alituondoa

Hapa "alituondoa" ina maana ya watu wa Israeli ambao walikuwa wakiishi Misri. Mwandishi anajijumlisha mwenyewe kama mmoja wa watu hata kama aliishi Misri au la.

kwa mkono wake mkuu, kwa mkono wake ulionyoshwa

Hapa "mkono mkuu" na "mkono ulionyoka" ni sitiari kwa nguvu ya Yahwe. "kwa kuonyesha nguvu yake" Maneno kama haya hujitokeza katika 4:34.

kwa hofu kuu

"kwa matendo ambayo yaliwatisha watu waliyoyaona"

nchi inayotiririka kwa maziwa na asali

Hii ni lahaja. "nchi yenye maziwa mengi na mtiririko wa asali" au "nchi ambayo inafaa kwa mifugo na ukulima"