sw_tn/deu/26/08.md

20 lines
715 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Hii inaendeleza kile ambacho Muisraeli anatakiwa kusema pale anapoleta mazao yake ya kwanza kwa Yahwe.
# Yahwe alituondoa
Hapa "alituondoa" ina maana ya watu wa Israeli ambao walikuwa wakiishi Misri. Mwandishi anajijumlisha mwenyewe kama mmoja wa watu hata kama aliishi Misri au la.
# kwa mkono wake mkuu, kwa mkono wake ulionyoshwa
Hapa "mkono mkuu" na "mkono ulionyoka" ni sitiari kwa nguvu ya Yahwe. "kwa kuonyesha nguvu yake" Maneno kama haya hujitokeza katika 4:34.
# kwa hofu kuu
"kwa matendo ambayo yaliwatisha watu waliyoyaona"
# nchi inayotiririka kwa maziwa na asali
Hii ni lahaja. "nchi yenye maziwa mengi na mtiririko wa asali" au "nchi ambayo inafaa kwa mifugo na ukulima"