sw_tn/deu/26/06.md

732 B

Taarifa ya Jumla:

Hii inaendeleza kile Muisraeli anapswa kulema anapoleta mazao yake ya kwanza kwa Yahwe.

walitutendea vibaya na kututesa

Misemo hii miwili kimsingi inasema kitu kimoja. Inasisitiza ya kwamba Wamisri walitenda kwa ukatili sana.

walitutendea

Hapa "walitutendea" ina maana ya watu wa Israeli ambao walikuwa wakiishi Misri. Mwandishi anajijumuisha mwenyewe kama mmoja wa watu hata kama aliishi Misri au la.

akasikia sauti yetu

Hapa "sauti" ina maana ya mtu mzima na kilio au maombi yake. "alisikia vilio vyetu" au "alisikia maombi yetu"

mateso yetu, kazi zetu na mateso yetu

"ya kwamba Wamisri walikuwa wakitutesa, ya kwamba tulikuwa tukifanya kazi ngumu sana, na kwamba Wamisri walikuwa wakitutesa"