sw_tn/deu/26/01.md

8 lines
290 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# baadhi ya mavuno yote ya kwanza
"baadhi ya matunda ya kwanza ya mavuno" au "baadhi ya mazao ya kwanza ya mavuno". Hii "kwanza" ni mpangilio wa nambari ya moja.