# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # baadhi ya mavuno yote ya kwanza "baadhi ya matunda ya kwanza ya mavuno" au "baadhi ya mazao ya kwanza ya mavuno". Hii "kwanza" ni mpangilio wa nambari ya moja.