sw_tn/deu/26/01.md

290 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

baadhi ya mavuno yote ya kwanza

"baadhi ya matunda ya kwanza ya mavuno" au "baadhi ya mazao ya kwanza ya mavuno". Hii "kwanza" ni mpangilio wa nambari ya moja.