sw_tn/deu/25/15.md

613 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "wako" ni katika umoja.

kamili na wa haki

"sahihi na haki"

uzito ... vipimo

Uzito ni mawe yanayotumika juu ya usawa kuthibitisha jinsi gani kitu kina uzito. Kipimo kilikuwa kikapu au chombo kingine cha kupimia jinsi gani kitu kilikuwa na ujazo.

siku zako ziwe ndefu

Hii ni lahaja. "unaweza kuishi kwa muda mrefu"

Kwa maana wote wanaofanya vitu hivi, wote wanaovunja haki

"kwa sababu kila mtu anayedanganya watu kwa kutumia ukubwa tofauti wa uzito na vipimo.