# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "wako" ni katika umoja. # kamili na wa haki "sahihi na haki" # uzito ... vipimo Uzito ni mawe yanayotumika juu ya usawa kuthibitisha jinsi gani kitu kina uzito. Kipimo kilikuwa kikapu au chombo kingine cha kupimia jinsi gani kitu kilikuwa na ujazo. # siku zako ziwe ndefu Hii ni lahaja. "unaweza kuishi kwa muda mrefu" # Kwa maana wote wanaofanya vitu hivi, wote wanaovunja haki "kwa sababu kila mtu anayedanganya watu kwa kutumia ukubwa tofauti wa uzito na vipimo.