sw_tn/deu/25/15.md

20 lines
613 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "wako" ni katika umoja.
# kamili na wa haki
"sahihi na haki"
# uzito ... vipimo
Uzito ni mawe yanayotumika juu ya usawa kuthibitisha jinsi gani kitu kina uzito. Kipimo kilikuwa kikapu au chombo kingine cha kupimia jinsi gani kitu kilikuwa na ujazo.
# siku zako ziwe ndefu
Hii ni lahaja. "unaweza kuishi kwa muda mrefu"
# Kwa maana wote wanaofanya vitu hivi, wote wanaovunja haki
"kwa sababu kila mtu anayedanganya watu kwa kutumia ukubwa tofauti wa uzito na vipimo.