sw_tn/deu/25/11.md

444 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "lako" hapa ni katika umoja.

kutoka mikononi mwa yule aliyempiga

Hapa "mkono" una maana ya nguvu au utawala. "kwa hiyo yule aliyempiga hatampiga tena" au "kutoka kwa mwanamume aliyempiga"

jicho lako halipaswi kuwa na huruma

Hapa "jicho" lina maana ya mtu mzima. "hautakiwi kumhurumia" au "hautakiwi kuonyesha huruma kwake"