# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "lako" hapa ni katika umoja. # kutoka mikononi mwa yule aliyempiga Hapa "mkono" una maana ya nguvu au utawala. "kwa hiyo yule aliyempiga hatampiga tena" au "kutoka kwa mwanamume aliyempiga" # jicho lako halipaswi kuwa na huruma Hapa "jicho" lina maana ya mtu mzima. "hautakiwi kumhurumia" au "hautakiwi kuonyesha huruma kwake"