sw_tn/deu/25/11.md

12 lines
444 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "lako" hapa ni katika umoja.
# kutoka mikononi mwa yule aliyempiga
Hapa "mkono" una maana ya nguvu au utawala. "kwa hiyo yule aliyempiga hatampiga tena" au "kutoka kwa mwanamume aliyempiga"
# jicho lako halipaswi kuwa na huruma
Hapa "jicho" lina maana ya mtu mzima. "hautakiwi kumhurumia" au "hautakiwi kuonyesha huruma kwake"