sw_tn/deu/24/21.md

436 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

kitakuwa cha mgeni, cha yatima na cha mjane

"mizabibu ambayo hautaokota itakuwa kwa ajili ya mgeni, yatima, na mjane kuokota"

cha mgeni, cha yatima na cha mjane

Hii ina maana yamakundi ya watu. "kwa ajili ya wageni, kwa wale yatima, au kwa wajane"

ukumbuke

Hii ni lahaja. "kumbuka"