# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # kitakuwa cha mgeni, cha yatima na cha mjane "mizabibu ambayo hautaokota itakuwa kwa ajili ya mgeni, yatima, na mjane kuokota" # cha mgeni, cha yatima na cha mjane Hii ina maana yamakundi ya watu. "kwa ajili ya wageni, kwa wale yatima, au kwa wajane" # ukumbuke Hii ni lahaja. "kumbuka"