sw_tn/deu/24/21.md

16 lines
436 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# kitakuwa cha mgeni, cha yatima na cha mjane
"mizabibu ambayo hautaokota itakuwa kwa ajili ya mgeni, yatima, na mjane kuokota"
# cha mgeni, cha yatima na cha mjane
Hii ina maana yamakundi ya watu. "kwa ajili ya wageni, kwa wale yatima, au kwa wajane"
# ukumbuke
Hii ni lahaja. "kumbuka"