sw_tn/deu/24/19.md

32 lines
989 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# Utakapovuna zao lako shambani mwako
"Utakapokata zao la shamba lako"
# tita
mazao ambayo mvunaji amezifunga pamoja
# kinapaswa kuwa cha mgeni, cha yatima, au cha mjane
Unaweza kufanya taarifa ieleweke. "unatakiwa kubakia tita ili kwamba mgeni, na yatima, au mjane anaweza kuchukua"
# katika kazi ya mikono yako
Hapa "mikono" ina maana ya mtu mzima. "katika kazi yako yote unayofanya"
# Utakapotikisa mti wako wa mzeituni
Unaweza kufanya taarifa ieleweke. "Unapotikisa matawi ya mti wa mzeituni, kusababisha mzeituni kuanguka kwenye nchi ili uweze kuchukua"
# haupaswi kupanda juu ya matawi tena
"usiokote kila tawi moja kutoka kwenye mti"
# itakuwa kwa ajili ya mgeni, kwa yatima na kwa mjane
Unaweza kufanya taarifa ieleweke. "mizeituni inayobaki katika matawi ni kwa ajili ya wageni, yatima, na wajane kuokota na kuondoka navyo"