sw_tn/deu/24/19.md

989 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

Utakapovuna zao lako shambani mwako

"Utakapokata zao la shamba lako"

tita

mazao ambayo mvunaji amezifunga pamoja

kinapaswa kuwa cha mgeni, cha yatima, au cha mjane

Unaweza kufanya taarifa ieleweke. "unatakiwa kubakia tita ili kwamba mgeni, na yatima, au mjane anaweza kuchukua"

katika kazi ya mikono yako

Hapa "mikono" ina maana ya mtu mzima. "katika kazi yako yote unayofanya"

Utakapotikisa mti wako wa mzeituni

Unaweza kufanya taarifa ieleweke. "Unapotikisa matawi ya mti wa mzeituni, kusababisha mzeituni kuanguka kwenye nchi ili uweze kuchukua"

haupaswi kupanda juu ya matawi tena

"usiokote kila tawi moja kutoka kwenye mti"

itakuwa kwa ajili ya mgeni, kwa yatima na kwa mjane

Unaweza kufanya taarifa ieleweke. "mizeituni inayobaki katika matawi ni kwa ajili ya wageni, yatima, na wajane kuokota na kuondoka navyo"