sw_tn/deu/24/16.md

12 lines
533 B
Markdown

# Wazazi hawapaswi kuuwawa kwa niaba ya watoto wao
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Haupaswi kuwaua wazazi kwa sababu ya jambo baya ambalo mmoja wa watoto wamefanya"
# na wala watoto hawapaswi kuuawa kwa niaba ya wazazi wao
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "na haupaswi kuwaua watoto kwa sababu ya jambo baya ambalo wazazi wao wamefanya"
# kila mtu anapaswa kuuwawa kwa dhambi yake mwenyewe
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "unapaswa kumuua mtu kwa sababa ya jambo baya alilofanya mwenyewe tu"