# Wazazi hawapaswi kuuwawa kwa niaba ya watoto wao Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Haupaswi kuwaua wazazi kwa sababu ya jambo baya ambalo mmoja wa watoto wamefanya" # na wala watoto hawapaswi kuuawa kwa niaba ya wazazi wao Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "na haupaswi kuwaua watoto kwa sababu ya jambo baya ambalo wazazi wao wamefanya" # kila mtu anapaswa kuuwawa kwa dhambi yake mwenyewe Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "unapaswa kumuua mtu kwa sababa ya jambo baya alilofanya mwenyewe tu"