sw_tn/deu/24/16.md

533 B

Wazazi hawapaswi kuuwawa kwa niaba ya watoto wao

Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Haupaswi kuwaua wazazi kwa sababu ya jambo baya ambalo mmoja wa watoto wamefanya"

na wala watoto hawapaswi kuuawa kwa niaba ya wazazi wao

Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "na haupaswi kuwaua watoto kwa sababu ya jambo baya ambalo wazazi wao wamefanya"

kila mtu anapaswa kuuwawa kwa dhambi yake mwenyewe

Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "unapaswa kumuua mtu kwa sababa ya jambo baya alilofanya mwenyewe tu"