sw_tn/deu/24/07.md

820 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

Iwapo mwanamume kakutwa kamteka

Hii ni lahaja kwa ajili ya "Kama mwanamume anamteka". Inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "kama utamkuta mwanamume amemteka"

kamteka

kutumia nguvu kwa lazima kumchukua mtu asiye na hatia kutoka nyumbani kwake na kumfunga mateka

moja wa kaka zake miongoni mwa watu wa Israeli

"moja kati ya Waisraeli wenzake"

huyo mwizi lazima afe

"kisha Waisraeli wengine wanapaswa kumuua mwizi huyo kama adhabu ya kile alichofanya"

na utakuwa umeondoa uovu miongoni mwenu

Kivumishi cha "uovu" kinaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "na unatakiwa kumtoa miongoni mwa Waisraeli mtu anayefanya uovu huu" au "nawe unapaswa kumuua mtu huyu muovu"