sw_tn/deu/24/07.md

24 lines
820 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# Iwapo mwanamume kakutwa kamteka
Hii ni lahaja kwa ajili ya "Kama mwanamume anamteka". Inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "kama utamkuta mwanamume amemteka"
# kamteka
kutumia nguvu kwa lazima kumchukua mtu asiye na hatia kutoka nyumbani kwake na kumfunga mateka
# moja wa kaka zake miongoni mwa watu wa Israeli
"moja kati ya Waisraeli wenzake"
# huyo mwizi lazima afe
"kisha Waisraeli wengine wanapaswa kumuua mwizi huyo kama adhabu ya kile alichofanya"
# na utakuwa umeondoa uovu miongoni mwenu
Kivumishi cha "uovu" kinaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "na unatakiwa kumtoa miongoni mwa Waisraeli mtu anayefanya uovu huu" au "nawe unapaswa kumuua mtu huyu muovu"