# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # Iwapo mwanamume kakutwa kamteka Hii ni lahaja kwa ajili ya "Kama mwanamume anamteka". Inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "kama utamkuta mwanamume amemteka" # kamteka kutumia nguvu kwa lazima kumchukua mtu asiye na hatia kutoka nyumbani kwake na kumfunga mateka # moja wa kaka zake miongoni mwa watu wa Israeli "moja kati ya Waisraeli wenzake" # huyo mwizi lazima afe "kisha Waisraeli wengine wanapaswa kumuua mwizi huyo kama adhabu ya kile alichofanya" # na utakuwa umeondoa uovu miongoni mwenu Kivumishi cha "uovu" kinaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "na unatakiwa kumtoa miongoni mwa Waisraeli mtu anayefanya uovu huu" au "nawe unapaswa kumuua mtu huyu muovu"