sw_tn/deu/24/06.md

400 B

kinu

kifaa kinachotumika kutengeneza unga kwa kusaga mbegu katikati ya mawe mawili mazito.

jiwe la kinu

sehemu ya juu ya jiwe katika kinu

kwa maana hivyo itakuwa kuchukua maisha ya mtu kama dhamana

Neno "maisha" ni lugha nyingine ya kile mtu anachohitaji kuweza kuishi. "kwa sababu atakuwa amechukua kutoka kwa mtu kile ambacho mtu anahitaji kutengeneza chakula kwa ajili ya familia yake"