# kinu kifaa kinachotumika kutengeneza unga kwa kusaga mbegu katikati ya mawe mawili mazito. # jiwe la kinu sehemu ya juu ya jiwe katika kinu # kwa maana hivyo itakuwa kuchukua maisha ya mtu kama dhamana Neno "maisha" ni lugha nyingine ya kile mtu anachohitaji kuweza kuishi. "kwa sababu atakuwa amechukua kutoka kwa mtu kile ambacho mtu anahitaji kutengeneza chakula kwa ajili ya familia yake"