sw_tn/deu/24/06.md

12 lines
400 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kinu
kifaa kinachotumika kutengeneza unga kwa kusaga mbegu katikati ya mawe mawili mazito.
# jiwe la kinu
sehemu ya juu ya jiwe katika kinu
# kwa maana hivyo itakuwa kuchukua maisha ya mtu kama dhamana
Neno "maisha" ni lugha nyingine ya kile mtu anachohitaji kuweza kuishi. "kwa sababu atakuwa amechukua kutoka kwa mtu kile ambacho mtu anahitaji kutengeneza chakula kwa ajili ya familia yake"