sw_tn/deu/24/03.md

32 lines
878 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli juu ya mwanamume anayepata talaka na kuoa mwanamume mwingine.
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# Iwapo mume wa pili akamchukia
"Kama mume wa pili akaamua ya kwamba anamchukia mwanamke huyu"
# talaka
Hii ni karatasi rasmi inayosema ya kwamba mwanamume na mwanamke hawajaoana tena.
# akaiweka mkononi mwake
"kumpatia mwanamke"
# mwanamume aliyemchukua kuwa mke wake
"mwanamume wa pili aliyemuoa mwanamke"
# baada ya yeye kuwa mchafu
Maana kamili ya kauli hii inawez akuwekwa wazi. "baada ya kuwa mchafu kwa talak na ndoa nyingine kwa mwanamume mwingine"
# Hautakiwi kusababisha nchi iwe na hatia
Nchi inazungumziwa kana kwamba inaweza kutenda dhambi. "hautakiwi kusambaza hatia katika nchi"