# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli juu ya mwanamume anayepata talaka na kuoa mwanamume mwingine. # Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # Iwapo mume wa pili akamchukia "Kama mume wa pili akaamua ya kwamba anamchukia mwanamke huyu" # talaka Hii ni karatasi rasmi inayosema ya kwamba mwanamume na mwanamke hawajaoana tena. # akaiweka mkononi mwake "kumpatia mwanamke" # mwanamume aliyemchukua kuwa mke wake "mwanamume wa pili aliyemuoa mwanamke" # baada ya yeye kuwa mchafu Maana kamili ya kauli hii inawez akuwekwa wazi. "baada ya kuwa mchafu kwa talak na ndoa nyingine kwa mwanamume mwingine" # Hautakiwi kusababisha nchi iwe na hatia Nchi inazungumziwa kana kwamba inaweza kutenda dhambi. "hautakiwi kusambaza hatia katika nchi"