sw_tn/deu/24/03.md

878 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli juu ya mwanamume anayepata talaka na kuoa mwanamume mwingine.

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

Iwapo mume wa pili akamchukia

"Kama mume wa pili akaamua ya kwamba anamchukia mwanamke huyu"

talaka

Hii ni karatasi rasmi inayosema ya kwamba mwanamume na mwanamke hawajaoana tena.

akaiweka mkononi mwake

"kumpatia mwanamke"

mwanamume aliyemchukua kuwa mke wake

"mwanamume wa pili aliyemuoa mwanamke"

baada ya yeye kuwa mchafu

Maana kamili ya kauli hii inawez akuwekwa wazi. "baada ya kuwa mchafu kwa talak na ndoa nyingine kwa mwanamume mwingine"

Hautakiwi kusababisha nchi iwe na hatia

Nchi inazungumziwa kana kwamba inaweza kutenda dhambi. "hautakiwi kusambaza hatia katika nchi"