sw_tn/deu/23/09.md

559 B

Utakapotembea kijeshi dhidi ya maadui zako, basi unapaswa kujitenga

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

dhidi ya maadui zako

"kupigana dhidi ya maadui zako"

kujitenga na kila aina ya uovu

"jitenge na mambo yote mabaya"

mwanamume ambaye sio msafi kwa sababu ya jambo lililofanyika kwake usiku

Hii ni njia ya upole ya kusema ya kwamba alikuwa na kutokwa kwa shahawa . "mwanamume yeyote ambaye ni mchafu kwa sababu alikuwa akitokwa na shahawa alipokuwa amelala"