sw_tn/deu/23/09.md

16 lines
559 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Utakapotembea kijeshi dhidi ya maadui zako, basi unapaswa kujitenga
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# dhidi ya maadui zako
"kupigana dhidi ya maadui zako"
# kujitenga na kila aina ya uovu
"jitenge na mambo yote mabaya"
# mwanamume ambaye sio msafi kwa sababu ya jambo lililofanyika kwake usiku
Hii ni njia ya upole ya kusema ya kwamba alikuwa na kutokwa kwa shahawa . "mwanamume yeyote ambaye ni mchafu kwa sababu alikuwa akitokwa na shahawa alipokuwa amelala"