# Utakapotembea kijeshi dhidi ya maadui zako, basi unapaswa kujitenga Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # dhidi ya maadui zako "kupigana dhidi ya maadui zako" # kujitenga na kila aina ya uovu "jitenge na mambo yote mabaya" # mwanamume ambaye sio msafi kwa sababu ya jambo lililofanyika kwake usiku Hii ni njia ya upole ya kusema ya kwamba alikuwa na kutokwa kwa shahawa . "mwanamume yeyote ambaye ni mchafu kwa sababu alikuwa akitokwa na shahawa alipokuwa amelala"