sw_tn/deu/23/01.md

557 B

Mwanamume aliyejeruhiwa kwa kupondwa au kukatwa

"mwanamume ambaye sehemu zake za siri zimepondwa au kukatwa"

kuingia katika kusanyiko la Yahwe

Hii ni lahaja. "anaweza kuwa mshiriki kamili wa jamii ya Israeli"

Mwana haramu

Maana zaweza kuwa 1) mtoto aliyezaliwa kwa wazazi ambao walijamiiana kwa maharimu au kuzini au 2) mtoto aliyezaliwa kwa kahaba.

kutoka hadi kizazi cha kumi cha uzao wake

Hii "kumi" ni nambari ya mpango ya kumi. "hata baada ya kizazi cha kumi cha vizazi vya mwana haramu"

hakuna kati yao

"hakuna kati ya vizazi hivi"