sw_tn/deu/23/01.md

20 lines
557 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mwanamume aliyejeruhiwa kwa kupondwa au kukatwa
"mwanamume ambaye sehemu zake za siri zimepondwa au kukatwa"
# kuingia katika kusanyiko la Yahwe
Hii ni lahaja. "anaweza kuwa mshiriki kamili wa jamii ya Israeli"
# Mwana haramu
Maana zaweza kuwa 1) mtoto aliyezaliwa kwa wazazi ambao walijamiiana kwa maharimu au kuzini au 2) mtoto aliyezaliwa kwa kahaba.
# kutoka hadi kizazi cha kumi cha uzao wake
Hii "kumi" ni nambari ya mpango ya kumi. "hata baada ya kizazi cha kumi cha vizazi vya mwana haramu"
# hakuna kati yao
"hakuna kati ya vizazi hivi"