# Mwanamume aliyejeruhiwa kwa kupondwa au kukatwa "mwanamume ambaye sehemu zake za siri zimepondwa au kukatwa" # kuingia katika kusanyiko la Yahwe Hii ni lahaja. "anaweza kuwa mshiriki kamili wa jamii ya Israeli" # Mwana haramu Maana zaweza kuwa 1) mtoto aliyezaliwa kwa wazazi ambao walijamiiana kwa maharimu au kuzini au 2) mtoto aliyezaliwa kwa kahaba. # kutoka hadi kizazi cha kumi cha uzao wake Hii "kumi" ni nambari ya mpango ya kumi. "hata baada ya kizazi cha kumi cha vizazi vya mwana haramu" # hakuna kati yao "hakuna kati ya vizazi hivi"