sw_tn/deu/22/28.md

444 B

lakini hajachumbiwa

"lakini ambaye wazazi wake hawajamuahidi mwanamume mwingine ya kuwa ataolewa na yeye"

na kama wakagundulika

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na kama mtu akagundua kilichotokea"

shekeli hamsini za fedha

Shekeli ina uzito wa gramu kumi na moja. "vipande hamsini vya fedha" au "gramu 550 za fedha"

Hatakiwi kumfukuza katika siku zake zote

Hii ni lahaja. "Hatakiwi kumpa talaka katika maisha yake yote"